Pages


Photobucket

Monday, September 2, 2013

Dkt. Shein Afungua Kongamano la Kimataifa la Historia ya Ustaarabu wa Uislam Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza wakati alipolifungua Kongamo la Kimataifa la siku tatu kuhusu historia ya ustaarabu wa Kiislamu katika Afrika ya Mashariki huko katika Ukumbi wa Hoteli ya Lagema Mkoa wa Kaskazini Unguja,(kulia Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna,na Dkt. Abdul Muneium Al-Hasni, Waziri wa Habari wa Falme ya Oman 

 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamuhuna, akihutubia katika Kongamano hilo na kumkaribisha Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dkt. Ali Mohamed Shein, kufungua Kongamano hilo katika ukumbi wa hoteli ya Lagema Zanzibar.
Balozi wa Oman Nchini Tanzania Balozi Yussuf Ak Bakry, akitowa salamub za Nchi yake katika Ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa la Historia ya Ustaarabu wa Uislam, katika ufunguzi wa Kongamano hilo katika ukumbi wa hoteli ya Lagema Nungwi Zanzibar

No comments:

Post a Comment