Mtu wangu wa nguvu unaweza kujiuliza
huyu shemeji yetu alikuwa na hali gani kipindi kifupi kilichopita wakati
Kaka Dada,Lucci Jokate ndiyo headline kila sehemu. Lucci
anaongezea,”Unajua ukishakuwa kwenye mapenzi na mtu anayejitambua na
anafahamu kazi yako. Basi atafahamu kabisa entertainment inahitaji vitu
tofauti ili kufanikisha. So mimi na yeye tuliongea kwamba muda huu
tunaitoa kazi ya kaka dada na plan nzima alikuwa anaijua. So hakukuwa na
tatizo lolote”
Kama unataka kujua upande wa pili wa
Lizzyblazzer, Lucci anatuelezea kuhusu mchumba wake,”Lisa ni director wa
kampuni yetu mimi na yeye inaitwa Tsere. Kazi tunayofanya ni creative
and marketing, pia anafanya kazi ya HR kwenye hii kampuni”
Oky, so kumaliza mawazo mengi ambayo
watu walikuwa nayo kuhusu Jokate na Lucci. Kaka Dada ni kaka na dada
kweli, ule ulikuwa wimbo tu.
Tunasubili Jokate na yeye atuwekee wazi shemeji yetu…JUST KIDDIN’
Yanayoendelea twitter…
No comments:
Post a Comment