Pages


Photobucket

Tuesday, September 17, 2013

RIHANA AFANYA SHEREHE ROBO TATU YA MWILI WAKE NI UCHI WA MNYAMA, ZICHEKI PICHA HIZO

Katika hali ya kustaajabisha sana msanii anayemake headline katika muziki wa Kidunia ajulikanaye kama Rihanna, ametinga katika party ijulikanayo kama Annual Kadooment Day celebration huko Barbados sehemu ambayo alizaliwa, katika party hiyo Rihanna aliamua kufanyia sherehe hiyo mtaani huku akiwa uchi kama picha na zinavyoonekana.....Tazama picha mwenyewe ujionee dunia ilivyoisha

No comments:

Post a Comment