Pages


Photobucket

Thursday, January 24, 2013

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ATEMBELEA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU JIJINI DAR ES SALAAM (JANA)


 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika Picha ya Pamoja na viongozi na watumishi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu mara baada ya kukamilisha ziara yake.
 Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa (kulia)akimfafanulia jambo  Waziri Mkuu Mizengo Pinda (katikati)  kuhusu takwimu za Kilimo na uchumi. Kushoto kwa waziri Mkuu ni Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa.
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimweleza jambo Meneja wa Takwimu za Kilimo Bi. Joyce Urassa alipotembelea Ofisi ya Taifa ya Takwimu jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment