Pages


Photobucket

Saturday, January 12, 2013

wahindu watoa maoni katiba mpya


tec1 6e1bb
Padri Dkt. Charles Kitima (kulia) akimweleza jambo Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Prof. Palamagamba Kabudi (wa pili kushoto) nje ya ofisi za Tume mara baada ya Ujumbe wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya kwa Tume  (Ijumaa, Jan 11, 2013).

tec2 4c4ae
Katibu wa Kamati Maalum ya Katiba ya Makanisa ya Kipentekoste Tanzania Bw. Augustine Mpemba akiwasilisha maoni ya ya makanisa hayo katika mkutano na Tume ya Mabadiliko ya Katiba uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee, jijini Dar es Salaam  (Ijumaa, Jan 11, 2013). Wengine ni Wajumbe wa Tume hiyo Prof. Mwesiga Baregu (kushoto), Bi. Jessica Mkuchu na Prof. Palamagamba Kabudi.
tec3 8c516
tec4 2df59
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Awadh Ali Said (kulia) akiongea na Ujumbe wa Baraza la Hindu Tanzania kabla ya Baraza hilo kuwasilisha maoni kuhusu Katiba Mpya katika ukumbi wa Karimjee, jijini Dar es Salaam  (Jan 11, 2013). Ujumbe huo uliongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Baraza hilo Bw. Dinesh Vaishnau (Wa tatu kushoto).

No comments:

Post a Comment