Pages


Photobucket

Saturday, January 26, 2013

dkt.bilal awaasa waislamu


  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimina na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia na Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, wakati alipowasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana(juzi) usiku Januari 24, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria mkesha wa sherehe za Maulid za kuzaliwa kwa Mtume Muhamad (S.A.W). 


A.W), zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana usiku Januari 24, 2013. Kushoto kwake ni ,Sheikh Mohamed Ismail. 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa, wakati akiwasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana Januari 24, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za mkesha wa maulid za kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W.).
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Sheikh Mohamed Ismail, wakati akiondoka kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana usiku Januari 24, 2013, baada ya kuhudhuria sherehe za mkesha wa Sikukuu ya Maulid za kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W).
 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Zakia Bilal, akijumuika na waumini wa dini ya kiislamu katika mkesha wa Sikukuu ya Maulid za kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W), zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana usiku.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Sheikh Mohamed Ismail, wakati alipokuwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana usiku Januari 24, 2013, kwenye sherehe za mkesha wa Sikukuu ya Maulid za kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W).
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa salamu zake za mkesha wa sherehe za Maulid, ya Maulid za kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W), wakati wa sherehe hizo zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana usiku.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange, Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia, Mwenyekiti wa CUF, Ibrahim Lipumba na waumin wa dini ya kiislamu wakijumuika kwa pamoja katika sherehe za mkesha wa Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W), zilizofanyika jana usiku katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
. Picha Zote na Muhidin Sufiani-OMR

1 comment:

  1. PESA ZA MAJINI AU NDAGU

    SOMA hii usaidike

    DOKTA MDIRO
    +255 742162843 call/whatsup

    KILA MTU ANA HAKI YA KUYAFRAHIA MAISHA KADRI ANAVYOTAKA HAKUNA MTU AMBAE AMEUMBWA KWAAJILI YA UMASIKINI KILA MTU ANAYO THAMANI MBELE YA MUUMBA
    USITESEKE NA UMASIKINI ULIO NAO SASA NJIA ZIPO ZA KUJISAIDIA AMBAZO HAZITAKUFANYA UMKOSEE MUUMBA WAKO KWASABABU HUTAMTOA MTOTO BABA WALA MAMA YAKO.

    NB. MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA.

    KWA MAELEKEZO ZAIDI PIGA SIMU SITAJIBU UJUMBE WOWOTE ULE ISIPOKUA KWA WALIO NJE YA NCHI AMBAO WATATUMIA NJIA YA WHATSAPP TU.

    NI KWELI UNAPENDA KUWA MIONGONI MWA WATU WALIO MILIKISHWA UTAJIRI HUU WA PESA ZA MAJINI AU NDAGU KWA MUDA MCHACHE KWA MASHARTI NAFUU SANA KIKUBWA UWE NA NIA, MSIRI, LENGO LA PESA NA NIDHAMU.

    NDAGU NA MAJINI MPAKA MASAA 48(siku mbili) KUONA MATOKEO KIKUBWA UWE TAYARI KUPOKEA MASHARTI.

    KAMA KWELI UNA UTAYARI DHAMIRA NDANI YA MOYO WAKO BASI UTAJIRI HUU UTAUMILIKI NA KUWASHANGAZA WATU AMBAO WALIKUBEZA NA KUKUDHALAU KWENYE MAISHA YAKO.

    KATIKA HILI NAHITAJI MTU
    UWE MSIRI.
    UWE NA NIA YA KWELI(husije kujaribu).
    UWE NA MIAKA 20+
    UWE NA MALENGO
    UWE NA NIDHAMU

    ANGALIZO: HUSITUME SMS PIGA SIMU KUEPUKA MATAPELI UWEZE KUPATIWA MAELEKEZO KWA UREFU ZAIDI.

    DOKTA MDIRO
    +255 742162843 call/whatsup

    ReplyDelete