Pages


Photobucket

Wednesday, January 9, 2013

WANANCH WAGEUKA ZAKAYO: NI KWA KUPANDA MITI KUMUONA WAZIRI MKUU ALIPOKUWA AKIWAHUTUBIA



Wana nchi wa kata ya Itenka A jimbo la katavi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza Mh waziri mkuu Mizengo Pinda alipo kuwa ana hutubia kuhimiza watu kulima kwa kutumia kilimo cha kisasa mwishoni mwa wiki wana nchi wengine walilazimika kupanda juu ya miti

Mke wa Waziri mkuu Mh Tunu Pinda akiwa ana sugua chungu ambacho hutumika katika ngoma marufu itwayo Nsimba  ya kabila la wapimbwe ambayo ilikuwa ikichezwa katika kata ya Itenka A na kikundi hicho  kinaitwa Pinda (Picha na Chris Mfinanga)

No comments:

Post a Comment