Pages


Photobucket

Tuesday, January 22, 2013

Dk Harrison Mwakyembe:"Maamuzi yaliyofikiwa na Bodi ya Wakurugenzi wa Bandari juu ya shutuma mbalimbali za Viongozi wa Bandari ni Kwamba Tumewafukuza Kazi Rasmi.''


 Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe (kulia) akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam
 Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe (kulia) akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo wakati akitangaza maamuzi yaliyofikiwa na Bodi ya Wakurugenzi juu ya shutuma mbalimbali za Viongozi wa Bandari. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu – Wizara ya Uchukuzi , John Mngodo  na katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Mhandisi Omar Chambo.Picha Zote na Mdau Mroki

No comments:

Post a Comment