Pages


Photobucket

Friday, January 25, 2013

HUYU NDIE MBUNGE ALIYE WAHI KUVAA HERENI BUNGENI...


Pichani ni Mike Sonko, Mbunge mashughuri kutoka nchini Kenya ambaye anasifika kwa mbwembwe na mavazi yake ambayo huwavutia wengi kiasi cha kumshangilia kila anapooneka kwa jamii, mbunge huyo ambaye huingia bungeni akiwa amevalia mavazi ambayo ni tofauti na ilivyozoeleka kwa wabunge nchi hiyo.


Mbunge Mike Sonko aliwahi kutimuliwa bungeni kwatuhuma za kuvaa herini, na kushangaza baadhi ya wabunge wenzake huko nchini Kenya.

   
Mavazi ya ki-brather Man yafauti ya Ki-Brother Man aliokua akivaa Mbunge huyo wa Kenya kwa kusifika kwa nyodo na miondoko ya mbwembwe

No comments:

Post a Comment