Pages


Photobucket

Thursday, January 10, 2013

HIVYO NDIVYO BASI LA BUNDA EXPRESS LILIVYOPINDUKA....


Eneo la katikati ya Lugeye na Nyanguge basi la abiria la 'Bunda Express' lenye namba za usajili T 782 BKZ likitokea Musoma kuelekea Mwanza muda wa saa mbili asubuhi jana lilipata ajali mbaya, mazingira yanaonesha kuwa idadi kubwa ya watu wamekutwa na umauti na wengine kuwa majeruhi na mvua kubwa ilikuwa ikinyesha.
Ajari ilitokea eneo la katikati ya Lugeye na Nyanguge basi la abiria la 'Bunda Express' lenye namba za usajili T 782 BKZ likitokea Musoma kuelekea Mwanza muda wa saa mbili asubuhi jana lilipata ajali mbaya, mazingira yanaonesha kuwa idadi kubwa ya watu wamekutwa na umauti na wengine kuwa majeruhi na mvua kubwa ilikuwa ikinyesha.bunda a8b9c
Basi la Bunda lililokua linatokea Musoma kwenda Mwanza limepata ajali nje kidogo ya Magu eneo la katikati ya Kahangalala na Ihayabuyaga na watu watatu wanahofiwa kufariki katika ajali hiyo na zaidi ya 10 kujeruhiwa.

No comments:

Post a Comment