Pages


Photobucket

Thursday, January 10, 2013

Mahojiano na Mhe Balozi Mwanaidi Maajar Part 1









 
Hii ni sehemu ya kwanza kati ya mbili za mahojiano kati ya JAMII PRODUCTION na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nchi za Marekani na Mexico (anayemaliza muda wake) Mhe. Mwanaidi Maajar.


Balozi wa Tanzania nchini  Marekani na Mexico  Mhe. Mwanaidi Maajar

Katika sehemu hii anaeleza Historia yake Ilikuwaje akaingia katika fani ya sheria? Na ni nini alipanga kufanya kabla ya kujikita kwenye sheria?

Ni vipi alipokea ombi la kuwa Balozi?
Ni zipi changamoto alizokutana nazo kwenye kazi ya ubalozi?
Ni vipi amebadili mawazo ya waMarekani wanaoiona Tanzania kama nchi isiyopiga hatua?
Anawashirikisha vipi viongozi wa Tanzania maendeleo anayoyaona Marekani?
Ipi nafasi ya mwanamke katika uongozi?
Anazungumzia vipi suala la viti maalum kwa wanawake?
Je! Tanzania ipo tayari kuwa na Rais mwanamke? Na Je! Tanzania ina wanawake ambao wanaweza kuwa rais wa nchi hiyo?

Na mengine mengi.

No comments:

Post a Comment