Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Dkt. Rehema Nchimbi (katikati) akiongoza mapokezi ya ujumbe wa Sekretarieti ya CCM,unaoelekea mkoani Kigoma mapema asubuhi hii kwa usafiri wa treni,ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana (wa pili kulia) kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya chama cha Mapinduzi CCM yatakayo adhimishwa mkoani humo.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana akizungumza na Wanachama
wa CCM mkoani Dodoma waliokuwa wamefika Stesheni ya Dodoma asubuhi hii
kuwalaki Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM,wanaoelekea mkoani Kigoma kwa
usafiri wa treni kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya chama cha Mapinduzi
CCM,Wajumbe wa Sekretarieti ya NEC wameondoka jana jijini Dar kwenda
Mkoani Kigoma kuadhimisha miaka 36 ya Chama hicho.Kushoto kwake ni Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro na kulia kwake ni Katibu wa NEC,Itikaji na Uenezi CCM,Nape Nnauye
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana akiagana na
baadhi ya WanaCCM wa Mkoani Dodoma waliofika kuwalaki na kuwatakia
safari njema Wajumbe wa
Sekretarieti ya CCM,wanaoelekea mkoani Kigoma kwa usafiri wa treni
kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya chama cha Mapinduzi CCM,Wajumbe wa
Sekretarieti ya NEC wameondoka jana jijini Dar kwenda Mkoani Kigoma
kuadhimisha miaka 36 ya Chama hicho.
Katibu Mkuu wa Chama cha
Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana akiwaaga Wanachama wa CCM mkoani
Dodoma waliokuwa wamefika Stesheni ya Dodoma asubuhi hii kuwalaki
Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM,wanaoelekea mkoani Kigoma kwa usafiri wa
treni kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya chama cha Mapinduzi CCM
Katibu wa NEC,Itikaji na Uenezi
CCM,Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika stesheni ya
treni Mkoani Dodoma Mapema leo asubuhi.
Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro akiwa ndani ya treni asubuhi hii akiwapungia mkono WanaCCM wa Mkoani Dodoma waliofika kuwalaki na kuwatakia safari njema Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM,wanaoelekea mkoani Kigoma kwa usafiri wa treni kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya chama cha Mapinduzi CCM

Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt. Asha-Rose Migiro akiwa ndani ya treni asubuhi hii akiwapungia mkono WanaCCM wa Mkoani Dodoma waliofika kuwalaki na kuwatakia safari njema Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM,wanaoelekea mkoani Kigoma kwa usafiri wa treni kwenye maadhimisho ya miaka 36 ya chama cha Mapinduzi CCM
PESA ZA MAJINI AU NDAGU
ReplyDeleteSOMA hii usaidike
DOKTA MDIRO
+255 742162843 call/whatsup
KILA MTU ANA HAKI YA KUYAFRAHIA MAISHA KADRI ANAVYOTAKA HAKUNA MTU AMBAE AMEUMBWA KWAAJILI YA UMASIKINI KILA MTU ANAYO THAMANI MBELE YA MUUMBA
USITESEKE NA UMASIKINI ULIO NAO SASA NJIA ZIPO ZA KUJISAIDIA AMBAZO HAZITAKUFANYA UMKOSEE MUUMBA WAKO KWASABABU HUTAMTOA MTOTO BABA WALA MAMA YAKO.
NB. MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA.
KWA MAELEKEZO ZAIDI PIGA SIMU SITAJIBU UJUMBE WOWOTE ULE ISIPOKUA KWA WALIO NJE YA NCHI AMBAO WATATUMIA NJIA YA WHATSAPP TU.
NI KWELI UNAPENDA KUWA MIONGONI MWA WATU WALIO MILIKISHWA UTAJIRI HUU WA PESA ZA MAJINI AU NDAGU KWA MUDA MCHACHE KWA MASHARTI NAFUU SANA KIKUBWA UWE NA NIA, MSIRI, LENGO LA PESA NA NIDHAMU.
NDAGU NA MAJINI MPAKA MASAA 48(siku mbili) KUONA MATOKEO KIKUBWA UWE TAYARI KUPOKEA MASHARTI.
KAMA KWELI UNA UTAYARI DHAMIRA NDANI YA MOYO WAKO BASI UTAJIRI HUU UTAUMILIKI NA KUWASHANGAZA WATU AMBAO WALIKUBEZA NA KUKUDHALAU KWENYE MAISHA YAKO.
KATIKA HILI NAHITAJI MTU
UWE MSIRI.
UWE NA NIA YA KWELI(husije kujaribu).
UWE NA MIAKA 20+
UWE NA MALENGO
UWE NA NIDHAMU
ANGALIZO: HUSITUME SMS PIGA SIMU KUEPUKA MATAPELI UWEZE KUPATIWA MAELEKEZO KWA UREFU ZAIDI.
DOKTA MDIRO
+255 742162843 call/whatsup