Pages


Photobucket

Thursday, January 30, 2014

TANGAZO TANGAZO TANGAZO!!!

Naomba kuwatangazia wananchi kuwa anaeonekana pichani ni KIMARI RICHARD aliepotea juzi siku ya jumatatu tarehe 27/01/2014 mnamo saa moja usiku MAKULU Dodoma, akiwa kwenye matibabu yake UDOM akisumbuliwa na ugonjwa wa figo. Tumetoa taarifa kituo kikuu cha polisi (central) na UDOM, Asili yake ni mzawa wa mkoa wa Kigoma yaani ni Muha, Msaada wako utakapomuona toa taarifa polisi au piga simu kwa namba zifuatazo
0712 283 618
0753028400
au 
0753795238

No comments:

Post a Comment