Wataalamu
hao wamesema kuna umuhimu mkubwa wa kupunguza matumizi ya Lipstick,
hasa kwa wanawake wajawazito na watoto
wa dogo, mmoja ya wataalamu hao
akielezea madhara yaliyopo katika kipodozi hicho pendwa kivutio cha
wengi amesema, kila lipstick moja ina Material 55% ya madhara kwa afya
ya mtoto.Uchunguzi uliyofanywa na wataalamu hao katika mashirika
22 makubwa duniani yanayojihusisha na utengenezaji wa kipodozi hicho,
umebaini kwamba mashirika 12 kati ya 22 yanatumia material yenye madhara
kwa watoto, miongoni mwa madhara ya kipodozi hicho, ni kudhofika kwa
akili ya motto na kupunguwa uwezo wa kujifunza.
Katika siku za
hivi karibuni midomo imekuwa sehemu muhimu sana katika kukamilisha
urembo na unadhifu wa wanawake, lipstick imekuwa inawafanya waonekane
wana mvuto zaidi na kuongeza kupendeza katika muonekano wao. |
No comments:
Post a Comment