Pages


Photobucket

Saturday, January 4, 2014

JUHUDI NA KAZI ZA MAWAZIRI ZAONEKANA KWA VITENDO

 Waziri wa afya Mhe; Sangija akiwaonyesha kioo viongozi wenzake Mhe; Riziki Shaweji waziri wa Fursa na Uwezeshaji na Mshauri Mhe; Kweba "nimetoka kuweka code number za kioo hiki maana inabidi kitumike saizi katika public toilet za wakina dada wamekuwa wakipata mateso ya kioo na wengine kufika mahali wanabeba vioo vyao kwenye mapochi lakini kutokana nakuwa na serikali makini tumeliona kwa mtazamo chanya sasa tumelifanikisha kabisa" kiongozi huyu alikutana na mwandishi wetu akiwa amebeba kioo hicho kikiwa na namba zilizoandikwa, akisema waziri huyo ni code ambazo zinatambulika kwenye serikali ya wanafunzi yaani COBESO.
Mhe; Riziki Shaweji waziri wa Fursa na Uwezeshaji upande wa kulia na Mshauri Mhe; Kweba upande wa kushoto, wakiwa ofisi ya COBESO

No comments:

Post a Comment