Huu ndio ujumbe aliouandika msanii bonge la nyau kupitia page yake ya facebook DIAMOND TAKE CARE WACHA KASHFA.
Guys hivi huyu domo Diamond anamtaka
kitu gani msanii Alikiba? Tokea juzi amekua akimzungumzia katika Media
kwa mliofatilia Interview yake baada ya kusamehewa na kituo cha Channel
Ten jana usiku aliropoka maneno haya kuhusu Ali Kiba
Diamond: "Unajua kuna watu hawataki
kukubali kama mimi ni zaidi yao kuanzia muziki wangu mpaka maisha yangu,
mtu anaulizwa Twitter hivi mkiamua kufanya nyimbo moja na Diamond
hamuoni kama itapendeza sana et, anajibu never ever haiwezi kutokea mimi
kuimba na Diamond. Badala angekubali apate Kick nimrudishe katika
muziki analeta dharau wakati hanipati kimuziki mpaka kipesa. Muziki wake
hauna tena soko istoshe nasikia asahivi amejiunga na mfuko mpya wa
kutoa mikopo PRIDE unaitwa FAIDIKA NA PRIDE kakopeshwa kajenga nyumba.
Sitaki kua mnafiki namuweka wazi ni Ali kiba"
Duh asa Diamond kwani mtu kujiunga PRIDE
akakopeshwa ndio tatizo? Kuna matajiri kibao mjini humu wanamaisha
mazuri kwa ajili ya mikopo. Zote chuki @Diamond kama nawewe unataka
mkopo si ukajiunge? Sio kumpiga majungu mwenzako, watu kibao tumejiunga
na mikopo tumepata ndo inayotusaidia, kama nawewe unataka jiunge na
PRIDE tena usisumbuke
ukajiunge utapatiwa mkopo sio kumpiga vita mwenzako
No comments:
Post a Comment