Pages


Photobucket

Tuesday, January 28, 2014

KIFO CHA MSANII WA FUTUHI (MZEE DUDE ) CHALETA SIMANZI........

 Mzee Dude enzi za uhai wake.
 
MSANII wa kundi maarufu la vichekesho na uigizaji la Futuhi, Mzee Dude amefariki dunia akiwa katika Hospitali ya Rufaa Bugando iliyopo jijini Mwanza 27/01/2014  Saa kumi na moja jioni (Jumatatu)
 Habari zinasema kuwa alizidiwa juzi  Jumapili na kukimbizwa katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza



Source; Jamii Forum

No comments:

Post a Comment