Pages


Photobucket

Monday, January 27, 2014

KAULI YA CHIEF KIUMBE JUU YA NDINGA MPYA YA DIAMOND… KUMBE DIAMOND KAGONGEA GARI. SOMA HAPA


Huu ndio ujumbe wake Chief Kiumbe.
“Unajua mimi huwa sio mtu wa kuzungumza sana ila ukweli ni kwamba wasanii wengi wa hapa bongo wanatembelea magari yangu, na wala hawatoi hela yoyote,kwa mfano Diamond anamiliki gari yangu mpya ambalo nilinunua zaidi ya shilingi milioni 245 kipindi niko nje kiziara, nafanya hivi kwasababu ya upendo na pia wapo wasanii wengi tu, kuna wengine wanajitamba kwamba wamenunua ila sio kweli mimi ndio ninawapa bureee watembele hizo habari za kwamba wananunua hakuna kitu kama hicho,mimi napenda watu wafuate nyayo za Diamond naamini watafanikisha ndoto zao” – Kiumbe. CREDIT : DJ NOBBY

No comments:

Post a Comment