Mwenyekiti (Mhe;Musa Mdede ) wa TAHLISO 2013/2014 leo
akiwa safarini baada ya kupita Mjini Dodoma akiwa na timu yake wakati
Wakitokea Mkoani Rukwa katika mashindano ya michezo yaliyo husisha vyuo
vya SAUT, alikutana na viongozi wa COBESO chini ya Rais Mhe; Remidius M. Emmanuel.
Mwenyekiti huyo ambaye ni Rais wa Chuo kikuu cha Bugando amefurahishwa
na ukarimu wa Rais wa COBESO na kuahidi atafika chuo cha Elimu ya
Biashara CBE Dodoma.
Rais akiongozana na viongozi wengine kukutana na mwenyekiti huyo ikiwa
na Katibu Mkuu Kiongozi, Speaker, Waziri katika ofisi ya Rais kwenye
wizara maalum na Katibu Mkuu wa Habari na Mahusiano.
Hii ni sehemu sehemu waliposimama nakupata chai ya asubuhi maeneo ya soko kuu la Majengo Dodoma
Akielezea jinsi safari ilivyokuwa mpaka kufika hapa Dodoma
Mhe; akiorodhesha majina yake katika kitabu cha wageni cha COBESO
Wakipata kifungua kinywa hapa Katibu mkuu kiongozi kushoto na Waziri katika ofisi ya Rais kwenye wizara maalum
Katibu mkuu kiongozi
Mwenyekiti akiwa na Rais wakipata kifungua kinywa
Mazungumzo yakaendelea hapa na pale
Mkono wa kheri ulitolewa na Mwenyekiti kwa Rais Mhe; Remidius
Mwenyekiti akitoa mkono wa kheri kwa Waziri katika ofisi ya Rais kwenye wizara maalum
Mwenyekiti akitoa mkono wa kheri kwa Speaker
Mwenyekiti akitoa mkono wa kheri kwa Katibu Mkuu Kiongozi
Huu ndio usafiri uliotumiwa na Mwenyekiti wakiwa safarini na hapa ni Majengo Dodoma
No comments:
Post a Comment