Pages


Photobucket

Monday, January 6, 2014

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AJITAMBULISHA RASMI KWA WAANDISHI WA HABARI WA MKOA HUO,PIA ATOA TAARIFA YA MATUKIO MBALI MBALI KWA MWAKA 2013

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,SACP Ahmed Msangi akizungumza na waandishi wa habari wa Mkoa wa Mbeya (hawapo pichani) alipowaita kwa kuijitambulisha kwao na kutoa taarifa ya matukio mbali mbali yaliyotokea kwa kipindi cha Mwaka 2013.
 Waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali jijini Mbeya,wakiendelea kuchukua taarifa aliyokuwa akiitoa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,SACP Ahmed Msangi.

No comments:

Post a Comment