Pages


Photobucket

Monday, January 6, 2014

MAELFU WAMZIKA ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA DK WILLIAM MGIMWA

Mjane  wa Dr Mgimwa akiaga  mwili  huo kabla ya mazishi kijiji   cha Magunga  Iringa  leo 
Mwili  wa Dr Mgimwa ukishushwa kaburini  leo 
Wabunge  Deo  Sanga  wa jimbo la Njombe Kaskazin  kushoto na Deo Filikunjombe wa Ludewa  
Rais  Kikwete na mkewe  wakiweka  shada la maua 

No comments:

Post a Comment