Pages


Photobucket

Wednesday, January 29, 2014

. . . BREAKING NEWSSSS:::JENGO LEFU KARIBU NA SUPERMARKET YA SHOPRITE KARIAKOO LINAWAKA MOTO.




Jengo la JMC likiwaka moto.
Wananchi…
Jengo la JMC likiwaka moto.
 
Wananchi wakishuhudia moto huo.
 
Magari ya zimamoto yakiwasili eneo la tukio kutoa msaada.
 
Askari wa Kikosi cha Zimamoto wakipambana na moto huo.
 

Wananchi wakiwa eneo la tukio.
 
Askari wakidumisha ulinzi eneo la tukio.
 
Askari akiwasili eneo hilo eneo hilo akiwa na mbwa.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Vinywaji ya Bavaria wakishuhudia jengo lililo jirani nao la JMC likiungua.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick (kulia) akipata maelezo ya awali kutoka kwa Ofisa Mwandamizi wa Jeshi la Polisi.
Wafanyakazi kutoka Kampuni ya Ultimate Security wakiwa eneo hilo kuongeza nguvu.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick akiongea na wananchi eneo la tukio.


Live muda huu, Kuna jengo kubwa linaungua sasa hivi Eneo la Kamata.. hii ni moja ya picha inayoonesha moto huo na imepigwa muda huu

No comments:

Post a Comment