Pages


Photobucket

Thursday, January 30, 2014

PICHA:SPIKA WA BUNGE, MH. ANNE MAKINDA ATEMBELEA MAKAZI YA BALOZI MODEST MERO, GENEVA

 Picha ya pamoja, Mh. Modet Mero, Mh. Anne Makinda na mama Mero, kwenya makazi ya balozi.
 Mh. Spika Anne Makinda akishukuru baada ya kukabidhiwa na mwenyekiti wa watanzania, nakala ya Katiba ya Jumuiya ya Watanzania
Mh. Spika katika picha ya pamoja na Mh. Balozi Modest Mero pamoja na viongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio Uswisi.
---
Spika wa Bunge, Mh. Anne Makinda ametembelea makazi ya Balozi Modest Mero, kumsalimu na pia kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Jumuiya ya watanzania waishio hapa Uswisi.

Mh. Spika pamoja na ujumbe wake alikuwa Geneva, 27-28 Januari 2014, kuhudhulia kikao cha kwanza cha kamati ya Maspika  kwa ajili ya kuandaa mkutano mkuu wa Dunia wa Maspika.

No comments:

Post a Comment