Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na msafara wake, wakikaribishwa
na viongozi wa CCM mkoa wa Kigoma baada ya treni kutoka Dar es Salaam,
kuwasili leo asubuhi mjini Kigoma, Wanaoshuka ni Katibu wa NEC, Siasa na
Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro na Katibu wa NEC, Itikadi
na Uenezi NapeNnauye. Kinana na ujumbe wake wamesafiri kwa treni hadi
Kigoma kwa ajili ya sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 36 ya CCM
zitakazofanyika Februari 3, 2013 mjini Kigoma.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
Nape Nnauye na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk.
Asha-Rose Migiro (kushoto) wakisindikizwa baada ya kushuka kwenye treni
mjini Kigoma, ambako waliwasili leo wasubuhi wakitoka jijini Dar es
Salaam.Kinana na ujumbe wake wamesafiri kwa treni hadi Kigoma kwa ajili
ya sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 36 ya CCM zitakazofanyika
Februari 3, 2013 mjini Kigoma.
Mamia ya wananchi wakiwa wamejitokeza kupokea msafara wa Kinana
ulipowasili kwa treni Stesheni ya Kigoma leo asubuhi. Kinana na ujumbe
wake wamesafiri kwa treni hadi Kigoma kwa ajili ya sherehe za kilele cha
maadhimisho ya miaka 36 ya CCM zitakazofanyika Februari 3, 2013 mjini
Kigoma
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipokewa kwa ngoma kwenye
stesheni ya Kigoma, alipaowasili kwenye stesheni hiyo na ujumbe wake
akitokea jijini Dar es Salaam. Wapili ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa
Kigoma, Dk. Walid Kaborou na kulia ni Nape akishiriki kupiga ngoma.
Kinana na ujumbe wake wamesafiri kwa treni hadi Kigoma kwa ajili ya
sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 36 ya CCM zitakazofanyika
Februari 3, 2013 mjini Kigoma
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimshukuru dereva wa treni Kambi Ali, baada ya treni ya abiria aliyoendesha akiwemo Kinana na ujumbe wake kuwasili mjini Kigoma leo asubuhi. Wengine Wapili kushoto ni Dk. Asha Rose Migiro na Nape Nnauye.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimshukuru dereva wa treni Kambi Ali, baada ya treni ya abiria aliyoendesha akiwemo Kinana na ujumbe wake kuwasili mjini Kigoma leo asubuhi. Wengine Wapili kushoto ni Dk. Asha Rose Migiro na Nape Nnauye.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akimfurahia mtoto Ali
Saidi mwenye umri wa miezi minane, ambaye ni mtoto wa mmoja wa abiria
aliowakuta kwenye Stesheni ya Kigoma, msafara wa Kinana ulipowasili leo
kwa treni.Kinana na ujumbe wake wamesafiri kwa treni hadi Kigoma kwa
ajili ya sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 36 ya CCM
zitakazofanyika Februari 3, 2013 mjini Kigoma.
Abiria wakiwa katika behewa la daraja la watatu, wakitoka Tabora kwenda Kigoma leo
Mwananchi wa Kaliua akipeleka kupakia mchele kwenye behewa, treni ilipofika stesheni ya eneo hilo mkoani Kigoma leo.
Mwananchi wa Kaliua akipeleka kupakia mchele kwenye behewa, treni ilipofika stesheni ya eneo hilo mkoani Kigoma leo.
Kula kila dalili kwamba safari za treni zinachochea baadhi ya biashara
kufanyika hasa maeneo ya vijiji vyenye stesheni. Pichani wananchi
wakiuza miwa kwenye stesheni ya Kazuramimba mkoaniu Kigoma, leo treni
ilipopita ikienda mjini Kigoma
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro na
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwasilimia wananchi
kwenye stesheni ya Urambo mkoani Tabora
Wadau waliosafiri katika treni yenye msafara wa Kinana na ujumbe wake, wakiwa katika treni hiyo kabla ya kufika Kigoma
Kila mmoja kwa raha zake kama huyu jamaa
Msichana akiwa na miwa kwenye stesheni ya Kazuramimba ambako ni maarufu
kwa uuzaji wa viburudisho hivyo (Picha zote na Bashir Nkoromo).
No comments:
Post a Comment