Hii ni sehemu ya kwanza kati ya mbili za mahojiano kati ya JAMII
PRODUCTION na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nchi za
Marekani na Mexico (anayemaliza muda wake) Mhe. Mwanaidi Maajar.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Maajar
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Maajar
Katika sehemu hii anaeleza Historia yake Ilikuwaje akaingia katika fani
ya sheria? Na ni nini alipanga kufanya kabla ya kujikita kwenye sheria?
Ni vipi alipokea ombi la kuwa Balozi?
Ni zipi changamoto alizokutana nazo kwenye kazi ya ubalozi?
Ni vipi amebadili mawazo ya waMarekani wanaoiona Tanzania kama nchi isiyopiga hatua?
Anawashirikisha vipi viongozi wa Tanzania maendeleo anayoyaona Marekani?
Ipi nafasi ya mwanamke katika uongozi?
Anazungumzia vipi suala la viti maalum kwa wanawake?
Je! Tanzania ipo tayari kuwa na Rais mwanamke? Na Je! Tanzania ina wanawake ambao wanaweza kuwa rais wa nchi hiyo?
Na mengine mengi.
No comments:
Post a Comment