Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa
Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiongoza harambe ya kuchangia
ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike katika Chuo Kikuu cha Teofilo
Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini Tanzania,Jimbo la
Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya.Katika Harambee hiyo,Mh.
Lowassa pamoja na marafiki zake wakiweza kuchangia sh millioni 25
kusaidia ujenzi huo.
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa
Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiendesha harambe ya kuchangia
ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike katika Chuo Kikuu cha Teofilo
Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini Tanzania,Jimbo la
Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya.Kulia ni Mkuu wa Wilaya
ya Rungwe,Mh. Cripin Meela.
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa
Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akimuhamasisha mmoja wa waalikwa
kuchangia katika harambe ya kuchangia ujenzi wa bweni la wanafunzi wa
kike katika Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la
Moravian nchini Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda
mjini Mbeya.
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa
Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (wa pili kushoto) akifurahia jambo
wakati alipokuwa katika Mazungumzo na Askofu Kiongozi wa Kanisa la
Moravian Tanzania (KMT), Askofu Alinikisa Cheyo (kushoto) wakati wa
hafla ya harambe ya kuchangia ujenzi wa bweni la wanafunzi wa kike
katika Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji, kinachomilikiwa na Kanisa la
Moravian nchini Tanzania,Jimbo la Kusini Magharibi,usharika wa Ruanda
mjini Mbeya..
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa
Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiagana na viongozi mbalimbali wa
Chuo hicho mara baada ya kuongoza harambe ya kuchangia ujenzi wa bweni
la wanafunzi wa kike katika Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji,
kinachomilikiwa na Kanisa la Moravian nchini Tanzania,Jimbo la Kusini
Magharibi,usharika wa Ruanda mjini Mbeya.
No comments:
Post a Comment