| Diamond akiwa sambamba na mkurugenzi wa Clouds Media,Ruge Mutahaba wakielekea msikitini kusalia maiti.... |
| Ghafla umati wa watu ulimzingira na kumuweka mtu kati.... |
| Hapa akiwa amefika salama msikitin kwa nje alikutana na msanii Berryblack kutoka zanzibar |
| Ili ni eneo la msikiiti.....wananchi walimzingira kwa wingi....wenye simu zenye uwezo wa kupiga picha walizitoa na kuanza kumwekua mwekua |

No comments:
Post a Comment