Pages


Photobucket

Monday, May 6, 2013

CHECK OUT PICHA ZA OMMY DIMPOZ AKISHUHUDIA MECHI KATI YA BARCELONA NA REAL BETIS

Mkali wa Bongo Flava Ommy Dimpoz aliyepo ziarani barani Ulaya, jana ameishuhudia live uwanjani mechi ya Barcelona na Real Betis kwenye uwanja wa Nou Camp wa Barcelona.
photo(3)
Katika mtanange huo, Barcelona ilishinda kwa bao 4-2.
photo(1)
photo(4)
photo(5)
photo(6)
photo

No comments:

Post a Comment