Pages


Photobucket

Tuesday, May 7, 2013

ALICHO'TWEET ADAM NDITI KUHUSU SHOW YA DIAMOND @LONDON-UK SOMA HAPA

Hizi ni baadhi ya tweet alizotweet Adam Nditi, mtanzania anayechezea timu ya Chelsea 'B' huko Uk, zinahusu show nzima ya msanii Diamond alichokifanya juzi kwenye show yake nchini humo.

1 comment:

  1. Unaishi ulaya lakini bado unamajungu kweli mtu haachi asili yake. Dimond huko aliandaliwa na ratiba zote za huko alikuwa anapangiwa na huyo aliyemleta huko. Sasa unawezaje kumlaumu kwa swala la yeye kuchelewa kufika ukumbini? Yeye lazima afuate ratiba ya mwenyeji wake.
    Adam nditi anza kubadilika wewe unaishi ulaya lakini bado unauswahili. Shit.....

    ReplyDelete