Pages


Photobucket

Monday, May 6, 2013

CHECK OUT PICHA ZAIDI ZA KILICHOJIRI KATIKA HAPPY BIRTHDAY YA CHRISS BROWN HAPA

Hizi ndizo baadhi ya picha kutoka 1 OAK Nightclub, Mirage ambapo ndipo lilipofanyika bash la birthday ya  24 ya staa wako Chris Brown, Keki hii ni design ya Black Pyramid ambayo pia ni lebo ya mavazi ya mshkaji huyu ambayo wameianzisha in partnership with his ex girlfriend Karrueche Tran.


Bignames waliohudhuria birthday hii ni pamoja na Lil Wayne, Jeremih, Fabulous na wengineo.

Birthday Cake

Fabulous

No comments:

Post a Comment