Pages


Photobucket

Monday, May 13, 2013

CHEKI PICHA ZA YALIYOJILI BONANZA LA TASWA NA BONGO MOVIE, WOLPER AJIPIGA MAKE-UP HADI MCHEZONI, SOMA HAPA

 Msanii wa filamu Tanzania Jacqueline Wolper akiwa amefika katika uwanja wa TTC Chango'mbe teyari kwa kujianda na mechi iliyochezwa kati ya timu ya netboll ya Bongo movi na timu ya waandishi wa habari za michezo Tanzania (TASWA) jana ambapo timu ya bongo movi iliweza kufungwa magori 33 kwa 10



 Wachezaji wa timu ya bongo movi wakipewa mawaidha na kocha wao baada ya kumaliza kipindi cha kwanza
TOA MAONI YAKO......

No comments:

Post a Comment