Pages


Photobucket

Saturday, May 11, 2013

BIRTHDAY PARTY YA MTOTO WA IRENE UWOYA ILILKUWA KAMA NDOA VILE ONA PICHA HAPA.


MTOTO CHRISH( aliyeshikiliwa na baba yake) AKIMLISHA KEKI MAMA YAKE IRENE UWOYA
Tarehe 8 mwezi Mai ndio ilikuwa siku ya kuzaliwa ya Mtoto CHRISH wa nyota wa filam nchini Irene Uwaoya na mumewe ambaye ni msakata kabumbu wa Nchini Rwanda ajulikanaye kwa Jina la Ndikumana au Cut-out.
Mtoto CHRISH alifanyiwa sherehe na wazazi wake katika Ukumbi wa Shekina Garden maeneo ya Mbezi Beach. Sherehe hiyo iliudhuriwa na watu mbali mbali na wasani wa sinema na huku mtoto Chrish akisindikizwa na Babu na Bibi yake yaani Wazazi wa Irene Uwoya.
Sherehe hiyo ilifana sana ambapo kulikuwa na vituko mbalimbali vya aina yake lakini vyote ikiwa ni katika hali ya kunogesha sherehe hiyo ya kuzaliwa ya Mtoto CHRISH.


WATOTO WALIOKUJA KUSHEREKEA BIRTHDDAY YA MTOTO MWENZAO


ALMASI AMIR WA 5EFFECTS AKIWA NA JOHARI KWENYE BIRTHDAY YA MTOTO CHRISH


ALMASI AKIWA NA BAADHI YA WAALIKWA, KULIA NI SUDI NA KUSHOTO NI WALTER


IRENE UWOYA, JOHARI NA MARIAM ISMAEL WAKIWA NA WATOTO WAALIKWA


MARIAM ISMAIL, KUPA NA AARON WA 5EFFECTS WAKIENDELEA KUFUATILIA MATUKIO KATIKA SHEREHE


AARON WA 5EFFECTS AKIWA NA WATOTO


JAMILA WA BIG DAY YA MAREHEMU KANUMBA AKIWA KWENYE TUKIO LA SHEREHE


NDIKUMANA BABA WA CHRISH AKIWA NA MTOTO CHRISH


IRENE UWOYA NA NDIKUMANA WAKIWA NA MTOTO WAO CHRISH


WILLIAM MTITU WA 5EFFECTS AKIWA NA SUDI KWENYE TUKIO


IRENE UWOYA MAMA WA CHRISH








Picha zingine na zenye matukiombali mbali ya baadhi ya vituko vilivyotokea utaendelea kuzipata hapa hapa... stey on line

No comments:

Post a Comment