Pages


Photobucket

Thursday, May 9, 2013

BAADA YA RIHANNA NA CHRISS BROWN KUACHANA SASA HUYU NDIE MPENZ MPYA WA RIHANNA




Siku chache baada ya chris kuachana na Rihanna,jana usiku watu walipigwa na butwaa baada ya kumwona mwanadada huyo akijiachia na J.R. Smith huko Greenhouse NYC na hapo jana wakati akifanya shoo yake huko Brooklyn Rihanna  alitoa ujumbe ambao ulikuwa ni dongo kwa chris na ulisomeka hiv 

“Anybody who thinks love is the most complicated s*** ever?” she asked. “This is for us complicated ones. What the f*** now …

No comments:

Post a Comment