Pages


Photobucket

Thursday, May 16, 2013

ALICHOKISEMA BEN POL BAADA YA SKENDO YA KUCOPY NA KUPASTE KATIKA WIMBO WAKE MPYA, SOMA ALICHOKISEMA HAPA

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgtW0U9WG2IlG9WHVXlZszBbkSNqpq0ewzegjpzC1mnz3TeSQD7La-PE76kwLs8jyY3xmYMRskxzlx5BKWdcuqeoPWVqLgyikub70SAgSgsB_Fq-HXPyiPkjmTfaIVIYaKmDu9R-iDzKQc/s1600/BEN.jpgMuimbaji wa R&B nchini Ben Pol, amesema aliandika wimbo Jikubali kutokana na kuwa inspired na wimbo wa kundi la muziki wa rock la nchini Ireland, The Script ‘Hall of Fame’ waliomshirikisha Will.iam na sio kwamba aliucopy kama watu walivyoanza kusema.
page
Bongo5 imelazimika kuzungumza na Ben Pol baada ya kuwepo maneno kuwa amecopy na kupaste kutengeneza wimbo wake huo mpya.
“Wiki kama mbili au tatu, mfululizo kabla ya kutoa JIKUBALI, nimekuwa nikiandika huo wimbo (Hall of Fame) nikisema kwamba it’s a direct inspiration. Huo wimbo umenibadilisha mimi, meseji yake ilivyo na kila kitu chake, kwahiyo mimi nataka kumbadilisha mtanzania kutumia Jikubali,” amesema Ben Pol.

No comments:

Post a Comment