Pages


Photobucket

Tuesday, May 7, 2013

Balozi Idd azitaka kampuni za Oman kutumia fursa ya rasilimali zilizopo Zanzibar kuwekeza vitega uchumi vyao.


Mwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya Kibiashara ya Shanfar & Patners ya Mjini Salala Nchini Oman Bw. Ali Omar Al-Sheikh akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Ujumbe wa Viongozi watano wa Kampuni ya Kimataifa ya Kibiashara ya Shanfar & Patners ya Mjini Salala Nchini Oman uliofika ofisini kwake. 
Balozi Seif akiiomba Kampuni ya Kimataifa ya Kibiashara ya Shanfar & Patners ya Mjini Salala Nchini Oman kupitia Mwakilishi wake Bw. Ali Omar Al-Sheikh kutumia fursa zilizopo za rasilmali Zanzibar kuwekeza vitega uchumi vyao Nchini.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya Kibiashara ya Shanfar & Patners ya Mjini Salala Nchini Oman Bw. Ali Omar Al-Sheikh wakibadilisha mawazo katika masuala ya uwekezaji Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Viongozi watano wa Kampuni ya Kimataifa ya Kibiashara ya Shanfar & Patners ya Mjini Salala Nchini Oman baada ya mazungumzo yao yaliyohusu suala la uwekezaji hapa Nchini. (Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ).

No comments:

Post a Comment