Pages


Photobucket

Saturday, May 11, 2013

RIHANNA AZIDI KUCHEFUA HUENDA AKAPOTEZA MASHABIKI WENGI KWA HIKI ANACHOKIFANYA


Mbali na kufuta maonyesho yake kadhaa katika dakika za lala salama huku watu wakiwa wameshanunua tiketi wiki hii Rihanna alipanda jukwaani akiwa amechelewa dakika 90 mjini Boston huku uvumi ukidai kwamba alikuwa 'Bize' akiangalia mechi ya ligi ya NBA

No comments:

Post a Comment