Pages


Photobucket

Monday, May 6, 2013

ADY JAY DEE ASEMA HATO-SURRENDER, HIKI NDO ALICHOKISEMA. SOMA HAPA


Lady JaydeeKama mtakumbuka niliahidi kutoa awamu ya pili tar 15 au 17 May na ahadi ni deni..Japo naona mbali ila Nitafanya hivyo, bado nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu Ruge na wenzake...Ile ilikuwa ni trailer tu, Movie ndio linaanza sasa #TeamAnaconda no surrender...................

No comments:

Post a Comment