Pages


Photobucket

Saturday, June 1, 2013

ADAM MCHOMVU APOST LINK INAYOWEZA KUMCHAFUA LADY JAYDEE. SOMA HAPA

Kutoka facebook muda huu Acc ya Adam Mchomvu imepost hivi nanukuu " Picha za uchi alizopiga Lady Jay D bofya hapa" then akaweka link, ambayo binafsi sijaielewa so sikuona umuhimu wa kuifungua.
Account hii inayotumia jina la Adam Mchomvu sijajua kama ni yake ama fake na kama yake wame hack wakaandika au ameandika yeye mwenyewe, sitii neno hapa.


No comments:

Post a Comment