Pages


Photobucket

Wednesday, June 26, 2013

DOGO JANJA..UTOFAUTI WA TIP TOP NA KWA USTADHI JUMA NI MKUBWA


Msanii Dogo janja ambae kwasasa yupo chini ya ustadhi Juma namusoma,ila hapo mwanzo alikuwa kundi la Tip top connection lenye maskani yake manzese Dar es salaam.


Dogo janja akipiga stori na mwandishi wetu alisema’’’Kuna utofauti mkubwa sana wa Tip top na kwa ustadhi Juma namusoma,cha kwanza hata kiupande wa maisha nimebadilika sana maana tayari nina vitu ambavyo pale sikuwa navyo kabisa.
Pia mashabiki wajue nakuja na ngoma inaitwa serebuka ambayo nimefanya na wanangu wakaribu sanaJambo squad mzigo umefanywa na noizmekha ndani ya Arusha.

No comments:

Post a Comment