Pages


Photobucket

Wednesday, June 26, 2013

Beyonce aandika barua ya kuomba radhi kwa kuahirisha show yake


Muimbaji huyo aliahirisha show yake ya Antwerp iliyo sehemu ya ziara yake ya dunia ya Mrs Carter kutokana na uchovu na kupungikiwa maji hali iliyokuza tetesi za kuwa ni mjamzito tena.
Queen Bey alipost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa Facebook na website yake akiomba rad

No comments:

Post a Comment