Pages


Photobucket

Saturday, June 8, 2013

MWIGIZAJI MAARUFU INDIA AJIUA KWA WIVU WA MAPENZI

Jian Khan enzi za uhai wake
Taarifa kutoka nchini India zinasema kuwa 
Muigizaji maurufu nchini humo "Jiah Khan" 
amekutwa amekufa juzi kwa kujiuwa kwa kile 
kinachodaiwa aligundua Boyfriend wake ana mwanamke mwingine....
Mama yake na Khan amesema kua  alikuta mwili
 wa mtoto wake akiwa ameshakufa na Police bado 
wanachunguza chanzo cha kifo cha mrembo huyo ila baadhi ya
 majirani walizungumza na Mtandao wa BBC na 
kusema kua wanachujua
mwanadada Khan alikua na mkwaruzano na BF wake.....
Jiah Khan amefariki wakiwa na Miaka 25 na alijipatia 
umaarufu mkubwa Inchin india baada ya kuigiza na 
mkongwe wa tasnia ya movie anaijulikana kama 
Amitah Bachchan na pia aliweza kuigiza na Aamir Khan na Akshay Kumar. 
mwili wa Jiah Khan ulipelekwa
 Hospital kwa uchunguzi zaidi.....
Waomborezaji wakiwa wamebeba
 jeneza ulimo mwili wa Jiah Khan
Khan alizaliwa New York na akakulia London kabla ya
 kwenda Mumbai India na kujiingiza kwenye
 mambo ya sanaa ya uigizaji wa filamu...
Filamu yake ya Mwisho kuigiza inaitwa Housefull a
mbayo ilitoka mwaka 2010..

No comments:

Post a Comment