Pages


Photobucket

Monday, June 10, 2013

PROF JAY AAMUA KUVAA GWANDA , AKABIDHIWA RASMI KADI YA CHADEMA

Ilikuwa ni siku ya tar 21 May 2013 mjini Dodoma.
Ambapo msanii maarufu wa Hip Hop nchini Tanzania anaejulikana na wengi kama Prof Jay au Heavy Weight MC alipoamua kuvua gamba na kuvaa gwanda.
Uamuzi ni wake binafsi, sisi wasindikizaji tunamtakia kila kheri kwa alichokiamua









Na hizo ndio baadhi ya picha wakati wa tukio la kukabidhiwa kadi na kuwa mwanachama rasmi wa CHADEMA

No comments:

Post a Comment