Pages


Photobucket

Sunday, September 30, 2012

BAADHI YA PICHA ZA JOSEPH MWASAMBUNGU SIKU AKICHUKUA JIKO

  Mwendo wa kwaito kwa kwenda  mbele...

     Wakati wa zoezi zima la kulishana keki
         Zoezi zima la kulishana keki    likiendelea
     Zoezi zima la kulishana keki    likiendelea,sasa ni zamu ya  kijana Joseph
Sasa ni wakati wa kupata chakula, wakiwa ndani ya mjengo wa   Ma-harusi.

No comments:

Post a Comment