Alvin Walter Makundi ni kijana mdogo wa
Kitanzania anayeishi na wazazi wake nchini Singapore. Akiwa na umri wa
miaka 14 na mwanafunzi wa kidato cha pili huko Singapore, tayari
ameshatumbukiza jina lake katika orodha ya wataalamu wa application
katika moja ya makampuni makubwa duniani ya kutengeneza simu za mkononi
ya NOKIA, ambapo anatengeneza applications ambazo anazituma katika
kampuni hiyo ambayo nayo bila hiana huitumia. Kwa idhini ya mama yake.
Globu ya Jamii ilipata fursa ya kuongea naye kuhusu hayo maajabu
anayoyafanya. Msikilize. hapo chini...
Chini Rais Kikwete akisalimiana na Alvin ambaye aliongozana na mama yake pamoja na dada kuja kumuaga wakati Rais akiondoka Singapore usiku huu.
No comments:
Post a Comment