Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linasikitika kuwataarifu Wateja wake wa Mkoa wa Iringa kuwa kutakuwa na katizo la umeme kama ifuatavyo:-
TAREHE: 18, 20, 22, 24, 26 na 28 JUNI, 2013
SAA: 3:00 Asubuhi hadi saa 11:00 Jioni.
SABABU: Matengenezo ya kuweka miundo mbinu mipya katika line ya Msongo wa Kilovolti
33 (Saba Saba Tumaini) kuelekea Isimani.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
KIHESA, MKIMBIZI, MTWIVILA, TUMAINI UNIVERSITY, MAFIFI, KIHESA KILOLO, NDULI UWANJA WA NDEGE, KAMBI YA WACHINA NA MAENEO YA JIRANI.
TAREHE: 29 JUNI, 2013 - (Jumamosi)
SAA: 3:00 Asubuhi hadi saa 11:00 Jioni.
SABABU: Matengenezo ya kuweka miundo mbinu mipya katika line ya Msongo wa Kilovolti
33 (Saba Saba Tagamenda) kuelekea Isimani -
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
IRINGA MJINI, KIHESA, MKIMBIZI, MKWAWA CHUONI, TUMAINI, FRELIMO, ILALA, MLANDEGE, KIHESA IILOLO, MAFIFI, NDULI UWANJA WA NDEGE, KAMBI YA WACHINA NA IKONONGO
Tafadhali kuwa makini na nyaya za umeme zilizo chini. Usishike waya wa umeme toa taarifa kupitia simu zifuatazo; 0768 985100 au 022 2194400, 0767 902345, 0767 889886 au 0782 882754
Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,
TANESCO – MAKAO MAKUU.
No comments:
Post a Comment