Pages


Photobucket

Friday, February 15, 2013

WAZIRI GHASIA AFIWA NA BABA MZAZI

1






















Mama Salma Kikwete akimpa pole Mama Hawa Ghasia huku akilia kwa uchungu kutokana na msiba wababa yake mzazi   Abdulrahman Ghasia, jana katika Kijiji cha Naumbu, mkoani  Mtwara. (Picha na Bashir Nkoromo)


2
Mh. Hawa Ghasia akifarijiwa na waombolezaji huku akilia kwa uchungu kutokana na kumpoteza marehemu baba yake mzee Abdurahman Ghasia.
3Waombolezaji mbalimbali wakiwa katika msiba huo jana huko katika kijiji cha Naumbu mkoani Mtwara.

No comments:

Post a Comment