Pages


Photobucket

Tuesday, February 12, 2013

Taswira ya Maulidi ya Vikokotoni Zanzibar

Hudhaifa Shatry wapili kulia akipata picha na Mamufti wakiwa katika kisomo cha  maulidi ya MTUME S.A.W yalioandaliwa rasmi na mtaa wa Vikokotoni Zanzibar 

Baadhi ya maustadhi na wanafuzi wakipata picha ya pamoja kwenye kisomo cha  maulidi ya MTUME S.A.W yalioandaliwa rasmi na mtaa wa Vikokotoni Zanzibar 

Hudhaifa Shatry (watatu kutoka kushoto)  akipata picha na Mamufti wakiwa katika kisomo cha  maulidi ya MTUME S.A.W yalioandaliwa rasmi na Mtaa wa Vikokotoni Zanzibar

No comments:

Post a Comment