Pages


Photobucket

Friday, February 8, 2013

MH FREEMAN MBOWE AKUTANA KWA DHARURA NA MKUU WA JUMUIYA YA ULAYA NCHINI

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amefanya mazungumzo ya Faragha na Mkuu wa Jumuiya ya Ulaya (EU) nchini, Balozi Filiberto Ceriani Sebregondi. Viongozi hao walikutana kwa ajili ya mazungumzo kwenye kikao kifupi, juzi jioni, mjini Dodoma, kujadili masuala mbalimbali nchini.


No comments:

Post a Comment