Mwigizaji
Rose Ndauka amesema kuwa anapumzika kwenye tasnia ya filamu kwa mwaka
mmoja kwakuwa filamu za Tanzania zinafanana sana na anataka aje na kitu
kipya na tofauti.
Kwa
mujibu wa gazeti la mwanaspoti Rose Ndauka amesema wazo hilo limetokana
na tatizo la kufanya kazi zinazojirudia mara kwa mara, hali iliyomfanya
aamue kujipa likizo ya muda ili kujipanga.
Hata
hivyo kauli hiyo inaweza kuwa na utata muigizaji huyo ni mjamzito kwa
sasa na huenda hiyo ndio ikawa ni sababu kubwa ya yeye kusimama kwa
muda.
No comments:
Post a Comment