Mh. Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Bi. Fatuma Ally Akitoa Muhtasari wa Mafunzo ya Kuku -Kibiashara kwa Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr.Rehema Nchimbi.
*************************************************************************************************************
Hatimae Mh. Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Bi. Fatuma Ally jana tarehe 24/08/2013 amezindua rasmi ufugaji wa kuku kibiashara wilayani Chamwino na kwa kuwa na Chama kimoja cha ushirika Chenye wanachama wasiopungua mia mbili ambacho tayari kimeundwa.
Mkutano huo wa aina yake uliokutanisha viongozi,Mabenki,NGOS,wakulima,wafugaji,Wenye maduka,mama Ntilie,Wenye mabucha,wachuuza kuku,Wenye hoteli,Wenye mashine za kusaga na kukamua mafuta na wataaalamu wa mifugo .
Mkutano huo ulikuwa katika sura yenye kuonyesha bayana dhana ya " SMARTPARTNERSHIP" kwa kuwa na mfumo wa shughuli zote ndani ya MNYORORO WA THAMANI wa kuku kwa kufanywa na wana CHAMWINO kukidhi na kufikia mahitaji ya soko .
**************************************************************************************************************************

Mh. Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Bi. Fatuma Ally Akiwasilisha Mada ya Ufugaji kuku kwa mfumo wa BARIADI
Katibu wa Wilaya ya Chamwino (wa kwanza kushoto ) Bi. Juliana Kilasara akibadilishana mawazo na Afisa Usalama wa Wilaya ya Chamwino (Katikati) pamoja na Meneja wa Dodoma Hotel (Kulia) muda mfupi kabla ya Mafunzo hayo kuanza hapo jana.
Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo hayo wakifuatilia kwa umakini wakati Mkuu wa Wilaya alipokuwa akiwasilisha Mada.
Mh. Mkuu wa Wilaya akiendelea na Uwasilishaji wa Mada .....
Afisa Biashara wa Halmashauri ya Chamwino akiwasilisha Mada yake kwa kubainisha Mambo muhimu ya kuzingatia katika Biashara ya Ufugaji wa Kuku
Katibu wa Kikundi cha Ufugaji kuku kijiji cha Chilonwa Akisoma Taarifa ya kikundi hicho.
Wakati wa Majadiliano.......Maoni ,Ushauri na Maswali kutoka kwa Baadhi ya washiriki.............
Maoni ,Ushauri na Maswali kutoka kwa Baadhi ya washiriki............
Baadhi ya washiriki wakifuatilia kwa umakini mafunzo hayo............
Mwakilishi wa Akiba Commercial Bank akieleza nafasi ya Benki hiyo katika Suala zima la ufugaji kuku Wilayani Chamwino.
Mwakilishi wa NMB akieleza nafasi ya Benki hiyo katika Suala zima la ufugaji kuku Wilayani Chamwino.Mwakilishi wa TOAM akieleza nafasi ya taasisi hiyo hiyo katika Suala zima la ufugaji kuku Wilayani Chamwino.
"Tunasikiliza kwa Makini..... "
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chamwino akitoa mtizamo wake juu ya Mafunzo ya ufugaji kuku kibiashara katika Wilaya ya Chamwino.
Mwakilishi wa INADES akieleza nafasi ya taasisi hiyo katika Suala zima la ufugaji kuku Wilayani Chamwino.
Mwakilishi wa Action Aid akieleza nafasi ya Taasisi hiyo katika Suala zima la ufugaji kuku Wilayani Chamwino.
Afisa Tarafa wa Tarafa ya Chilonwa Bi. Doris Kavindi akisoma na kuelezea Historia fupi ya Ufugaji kuku Katika tarafa hiyo.
Afisa Tawala Wilaya ya Chamwino Bw. Remidius Emmanuel Akielezea uzoefu wa Ufugaji kuku nchini Tanzania, Kenya ,Uganda, Bangladesh na nchi mbalimbali za Uarabuni (aliwasilisha uzoefu huo kwa kutumia Video mbalimbali)
Afisa Mifugo wa Halmashauri ya Chamwino Dr. Richmond Urasa Akiwasilisha mada juu ya ufugaji endelevu wa kuku na mbinu za kupambana na changamoto Wilayani Chamwino.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Chwamwino (Aliyesimama) akiendesha shughuli nzima ya jana kama MC
No comments:
Post a Comment